KCJEKCJEPamoja Tujenge Uchumi
Nafasi za Kazi
Full-time

Afisa Masoko

Mtwara Mwisho wa Kuomba: 12 Novemba 2026

Tunatafuta Afisa Masoko mwenye uzoefu wa masoko ya mazao ya kilimo.

Afisa Masoko atahusika na kuunganisha wakulima na masoko, kufanya utafiti wa bei, na kuratibu mauzo ya korosho na ufuta.

Sifa Zinazohitajika

  • Shahada ya Masoko au fani inayohusiana
  • Uzoefu wa miaka 3+