Zabuni
Inakubali Maombi
Tangazo la Zabuni ya Pembejeo za Kilimo
Namba ya Kumbukumbu: KCJE/T/2026/PEMBEJEO Mwisho wa Kuwasilisha: 6 Novemba 2026
Zabuni za ugavi wa pembejeo za kilimo kwa msimu wa 2026/2027.
KCJE inatafuta wazabuni wa viuatilifu, salfa na magunia vilivyoidhinishwa kwa ajili ya wakulima wa korosho.
