KCJEKCJEPamoja Tujenge Uchumi
Вакансии
Full-time

Afisa Masoko

Mtwara Крайний срок подачи: 12 ноября 2026 г.

Tunatafuta Afisa Masoko mwenye uzoefu wa masoko ya mazao ya kilimo.

Afisa Masoko atahusika na kuunganisha wakulima na masoko, kufanya utafiti wa bei, na kuratibu mauzo ya korosho na ufuta.

Требования

  • Shahada ya Masoko au fani inayohusiana
  • Uzoefu wa miaka 3+