О KCJE
Наша история, видение и миссия


Наша история
Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited ni jumuiya ya ushirika iliyoanzishwa na vyama vya ushirika katika sekta ya korosho na ufuta nchini Tanzania. KCJE ilisajiliwa rasmi tarehe 12 Septemba 2022 (Namba ya Usajili 5621), ikiwa na lengo la kuimarisha ustawi wa kiuchumi wa wanachama kupitia utoaji wa pembejeo za kilimo na kukuza kilimo endelevu. Kauli mbiu yetu ni “Pamoja Tujenge Uchumi”.
Наше видение
Kuwa Jumuiya bora ya Vyama vya Ushirika inayojitolea kutoa huduma bora za kilimo na masoko ya korosho na mazao mengine nchini Tanzania.
Наша миссия
Kuimarisha, Kuunganisha na Kukuza Uzalishaji na Masoko ya Korosho na mazao mengine kupitia Vyama vya Ushirika nchini Tanzania.
Наши основные ценности
Kujisaidia na Uwajibikaji
Tunawawezesha wanachama kujitegemea na kuwajibika.
Demokrasia na Usawa
Kila mwanachama ana sauti sawa katika maamuzi.
Uadilifu na Uwazi
Tunafanya kazi kwa uaminifu na uwazi.
Weledi na Ubunifu
Tunakumbatia weledi na mbinu mpya za kilimo.
Ubora wa Huduma
Tunatoa huduma bora kwa wakulima wote.
Почему выбирают нас
Pembejeo za Bei Nafuu
Bei shindani kwa pembejeo bora za kilimo.
Mtandao Imara wa Ushirika
Utoaji wa huduma kwa wakati kupitia vyama wanachama.
Pembejeo Bora za Kilimo
Viuatilifu, mbolea na zana za kisasa za kilimo.
Usambazaji na Masoko
Minyororo bora ya ugavi na ufikiaji wa masoko.