KCJEKCJEPamoja Tujenge Uchumi
Vacatures
Full-time

Afisa Ugavi

Mtwara Sluitingsdatum: 5 november 2026

Afisa Ugavi atahusika na manunuzi ya pembejeo na usimamizi wa wazabuni.

Kusimamia mchakato wa manunuzi, kutathmini zabuni, na kuhakikisha ugavi wa pembejeo kwa wakati.

Vereisten

  • Shahada ya Ugavi/Procurement