KCJEKCJEPamoja Tujenge Uchumi
🌱 Welkom bij KCJE

Kuimarisha Wakulima wa Korosho kupitia Ushirika

Pamoja Tujenge Uchumi — tunatoa pembejeo bora, masoko na huduma za usambazaji kwa wakulima nchini Tanzania.

0+
Bediende boeren
0
Coöperatieve unies
0
Regio's
0
Jaren ervaring

Korosho Cooperative Joint Enterprise

Est. 2022 · Mtwara, Tanzania

Welkom bij KCJE

Welkom bij KCJE

Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited is een coöperatieve organisatie opgericht door zes coöperatieve unies in 2022 om de productie en afzet van cashew en andere producten via coöperaties in Tanzania te versterken.

Onze visie

Kuwa Jumuiya bora ya Vyama vya Ushirika inayojitolea kutoa huduma bora za kilimo na masoko ya korosho na mazao mengine nchini Tanzania.

Onze missie

Kuimarisha, Kuunganisha na Kukuza Uzalishaji na Masoko ya Korosho na mazao mengine kupitia Vyama vya Ushirika nchini Tanzania.

KCJE

Waarom KCJE kiezen

Wij zetten ons in om boeren op tijd kwaliteitsdiensten te leveren

Pembejeo za Bei Nafuu

Bei shindani kwa pembejeo bora za kilimo.

Mtandao Imara wa Ushirika

Utoaji wa huduma kwa wakati kupitia vyama wanachama.

Pembejeo Bora za Kilimo

Viuatilifu, mbolea na zana za kisasa za kilimo.

Usambazaji na Masoko

Minyororo bora ya ugavi na ufikiaji wa masoko.

Onze belangrijkste diensten

Onze belangrijkste diensten

Wij bieden diverse diensten aan boeren en coöperatieve unies

Usambazaji wa Pembejeo za Kilimo

Usambazaji wa Pembejeo za Kilimo

KCJE hununua kwa wingi na kusambaza viuatilifu, salfa, mbolea na zana bora za kilimo kwa vyama wanachama na wakulima wa korosho kwa bei nafuu na kwa wakati, ili kuhakikisha mazao bora na tija ya juu.

Pampu za Kunyunyizia na Teknolojia

Pampu za Kunyunyizia na Teknolojia

Tunasambaza pampu za kisasa za kunyunyizia pamoja na ndege nyuki (drones) za kilimo, zikisaidia wakulima kudhibiti wadudu kwa ufanisi, kuokoa muda na kuongeza usahihi wa matumizi ya dawa.

Vifaa vya Ufungashaji

Vifaa vya Ufungashaji

Tunatoa magunia ya katani (jute) na ya plastiki yenye ubora wa kitaifa kwa ajili ya kuhifadhi na kusafirisha korosho ghafi — msimu wa 2026/2027 KCJE inasambaza zaidi ya magunia milioni 9.3 kwa wakulima.

Mizani ya Kidijitali na Upimaji

Mizani ya Kidijitali na Upimaji

Mizani sahihi ya kidijitali katika vituo vya ununuzi huhakikisha upimaji wa uwazi na haki, hivyo mkulima kulipwa stahili yake halisi kwa kila kilo ya korosho anayouza.

Minada na Ufikiaji wa Masoko

Minada na Ufikiaji wa Masoko

Kupitia Vyama Vikuu wanachama, KCJE huendesha minada ya korosho yenye ushindani na kuunganisha wakulima na wanunuzi wa ndani na kimataifa — wiki ya kwanza ya msimu 2026/2027 ilivuna zaidi ya Sh bilioni 160.

Kujenga Uwezo wa Vyama

Kujenga Uwezo wa Vyama

KCJE hutoa mafunzo, ushauri na usimamizi wa utawala bora kwa Vyama Vikuu sita wanachama, ikiimarisha uwajibikaji, uwazi na uwezo wa kuwahudumia wakulima kwa ufanisi.

Onze oprichters

Onze oprichters

De zes coöperatieve unies die KCJE hebben opgericht

TANECU Ltd

TANECU Ltd

Regio: Mtwara

Chama Kikuu cha Ushirika cha Tandahimba na Newala — mmoja wa waanzilishi wa KCJE.

MAMCU Ltd

MAMCU Ltd

Regio: Mtwara

Chama Kikuu cha Ushirika cha Masasi na Mtwara kinachohudumia wakulima wa korosho.

TAMCU Ltd

TAMCU Ltd

Regio: Ruvuma

Chama Kikuu cha Ushirika cha Masoko ya Kilimo cha Tunduru.

CORECU Ltd

CORECU Ltd

Regio: Pwani

Chama Kikuu cha Ushirika cha Mkoa wa Pwani.

LMCU Ltd

LMCU Ltd

Regio: Lindi

Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao (LMCU).

RUNALI Ltd

RUNALI Ltd

Regio: Lindi

Chama Kikuu cha Ushirika cha Ruangwa, Nachingwea na Liwale.

Laatste nieuws

Laatste nieuws

Recente updates en evenementen van KCJE

KCJE KUSAMBAZA MAGUNIA MILIONI 9.3 MSIMU WA KOROSHO WA 2026/2027Makala
8 oktober 2026

KCJE KUSAMBAZA MAGUNIA MILIONI 9.3 MSIMU WA KOROSHO WA 2026/2027

Meneja Mkuu wa Korosho Cooperative Joint Enterprise (KCJE) Limited, Mohamed Mwinguku, amesema KCJE imejipanga kuhakikisha hakutakuwa na changamoto ya upatikanaji wa magunia katika msimu wa mauzo na masoko ya korosho wa 2026/2027. Mwinguku amesema makadirio ya uzalishaji wa korosho kwa msimu huo ni tani 750,000, huku mahitaji ya magunia yakikadiriwa kufikia zaidi ya milioni 9.35. […]

Lees meer
TANGAZO LA ZABUNI YA PEMBEJEO ZA KILIMOMakala
8 oktober 2026

TANGAZO LA ZABUNI YA PEMBEJEO ZA KILIMO

Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Cooperative Joint Enterprise Limited (KCJE Ltd), Odas Mpunga anatangaza zabuni Na. KCJE/2027/2028/G/02 kwa ajili ya ununuzi wa Pembejeo za Kilimo. Waombaji wanatakiwa kuwasilisha zabuni zao katika Ofisi za KCJE zikiwa na nakala halisi moja (1) na kivuli mbili (2) pamoja na kulipa ada isiyorejeshwa ya Sh5 milioni kupitia akaunti ya […]

Lees meer
Instagram

Volg ons op Instagram

De nieuwste updates en foto's van KCJE

Volg @Koroshocoopje

@Koroshocoopje

Sluit u aan bij ons coöperatieve netwerk

Neem vandaag contact op om te ontdekken hoe KCJE u kan helpen.