Tunatafuta Afisa Masoko mwenye uzoefu wa masoko ya mazao ya kilimo.
Afisa Masoko atahusika na kuunganisha wakulima na masoko, kufanya utafiti wa bei, na kuratibu mauzo ya korosho na ufuta.
Requisiti
- Shahada ya Masoko au fani inayohusiana
- Uzoefu wa miaka 3+
