

Uongozi wa Korosho Cooperative Joint Enterprise Ltd (KCJE Ltd) unapenda kutoa salamu za Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya kwa wanachama wote, wadau, washirika wa maendeleo, na watu wote kwa ujumla.
Tunatoa shukrani za dhati kwa ushirikiano, uaminifu na mchango wenu katika kuendeleza sekta ya korosho na kuimarisha shughuli za ushirika kwa mwaka mzima uliopita.
Tunawatakia Krismasi njema, Mwaka Mpya wenye mafanikio, amani, afya njema na maendeleo endelevu.
KCJE Ltd inaendelea kujizatiti katika kutoa huduma bora na kuongeza thamani katika mnyororo wa thamani wa zao la korosho kwa manufaa ya wanachama na Taifa kwa ujumla.

Articles liés
HabariHERI YA SIKUKUU YA UHURU WA TANZANIA
KCJE inawatakia wa Tanzania wote heri ya sikukuu ya maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania.
Lire la suite
HabariKCJE LTD YAPOKEA UGENI WA MAAFISA WA KILIMO KUTOKA WIZARA YA KILIMO
Maafisa wa Ushirika kutoka Wizara ya Kilimo wametembelea Ushirika wa Mradi wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Korosho (KCJE Ltd) kwa lengo la kuangazia na kukagua mnyororo wa upokeaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo, viuatilifu pamoja na magunia kwa wakulima wa korosho. Katika ziara hiyo, maafisa hao walipata fursa ya kujionea kwa karibu mfumo […]
Lire la suite
HabariCRDB Bank Yatembelea KCJE Ltd
Tarehe 20/11/2025, KCJE Ltd tumepokea ugeni kutoka CRDB Bank katika ziara maalum ya kuona shehena za viuatilifu na magunia yaliyowasilishwa na kampuni ambazo zimepatiwa mikopo na benki hiyo. Ziara hiyo ilihusisha ukaguzi wa shehena kutoka kwa wazabuni wanaoshirikiana na KCJE Ltd katika kusambaza pembejeo muhimu zinazowawezesha wakulima kuongeza uzalishaji—hususan kwenye zao la korosho. Akizungumza kwa […]
Lire la suite