المناقصات
مفتوح للعروض
Tangazo la Zabuni ya Pembejeo za Kilimo
الرقم المرجعي: KCJE/T/2026/PEMBEJEO الموعد النهائي للتقديم: 6 نوفمبر 2026
Zabuni za ugavi wa pembejeo za kilimo kwa msimu wa 2026/2027.
KCJE inatafuta wazabuni wa viuatilifu, salfa na magunia vilivyoidhinishwa kwa ajili ya wakulima wa korosho.
